Tuesday, August 10, 2010

LIL KIM NDANI YA BONGO


Mwanamuziki kutoka marekani lil kim akiwa air port ya dar es salaam wakati akiwasili kwajili ya onesho lilifanyika siku ya tarehe 7 mwezi wa 8 siku ya tamasha la fiesta season ya 9 mwaka 2010.

No comments: