Monday, October 25, 2010

CHRISS BROWN


Mkari wa R&B nchini MAREKANI AKIWA KATIKA INTERVIEW.

AY MKARI WA COMERCIAL

Huyu ndo wa comercial nchini tanzania na east africa kwa ujumla.

JUMA NATURE, MWASITI, FID Q


Hawa ndo wakali kwa sasa hapa bongo.

MWASITI R&B FROM THT





Mwasiti katika shoo ya fiesta inasemekana ndo mwanamke anayeimba R&B bora kwa sasa hapa bongo.

Friday, October 15, 2010

HAYA NDO MAMBO YA CCM MKOANI MWANZA





HAYA NDO MAMBO YA CCM MKOANI MWANZA KATIKA KAMPENI ZA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA NYAMAGANA MH. LAWLENCE K. MASHA.

Thursday, October 14, 2010

MREMBO KUTOKA CHANG'OMBE

HUYU NI VICTORIA HENRY MREMBO KUTOKA CHANG'OMBE a.k.a ( Playboy gal) the one and only in tanzania playboy gal.

AMERICAN ARTIST

Mwanamuziki wa kimarekani known as Rihanna akicheza game.