Thursday, December 17, 2009

WANENGUAJI WA TWANG PEPETA


WANENGUAJI WA TWANGA KUTOKA KULIA WA KWANZA NI MWANTUMU,WA PILI NI OTILIA MAMA SABITI NA WA TATU KATI KATI NI MAMA LWIZA MBUTU ANAYE MFUATA NI HALIMA NA WAMWASHO NI MALIA SALOMA. WAKIWA KWENYE UZINDUZI WA TUSKER CUP KWENY UWANJA WA UHURU KWENYE UFUNGUZI MECHI KATI YA MTIBWA SUGAR NA SOPFKAPAKA MABINGWA WAPYA WA KENYA.MTIBWA ALIFUNGWA TATU BILA

No comments: