Tuesday, December 22, 2009

EVE NDANIYA KEMPISK


EVE AKIWA MCHIZI WAKE NDANI YA BONGO

HUYU NI ANEE NA NEEMA


HAWA NI WATOTO WA KINONDONI WAJUKUU WA MZEE KAYUNI

AMANI FROM KENYA


HUYU NI AMANI KUTOKA KENYA AKIWA KWENYE TAMASHA LA ST8MUSIC JIJINI DAR ES SALLAM

HUYU NI MWASITI MTOTO WA THT


MWASITI AKITUMBUIZA KWENYE ONESHO LA MISS KISURA WA TANZANIA

MAIMATHA AKIWA NA MAPAFYEE


WANAWAKE WA MJINI WA KWANZA NI MAIMATHA WA JESSE AKIWA NA MAPAFYEE MTOTO WA KINONDONI MAENEO YA HOME ALONE MAENEO YA JOHARI SALOON

Thursday, December 17, 2009

MABINGWA KUTOKA KENYA SOPKAPAKA


HAO NDO MABINGWA WAPYA WA KENYA WALIO MFUNGA MTIBWA SUGAR MABAO MATATU KWA MOJA

WANENGUAJI WA TWANG PEPETA


WANENGUAJI WA TWANGA KUTOKA KULIA WA KWANZA NI MWANTUMU,WA PILI NI OTILIA MAMA SABITI NA WA TATU KATI KATI NI MAMA LWIZA MBUTU ANAYE MFUATA NI HALIMA NA WAMWASHO NI MALIA SALOMA. WAKIWA KWENYE UZINDUZI WA TUSKER CUP KWENY UWANJA WA UHURU KWENYE UFUNGUZI MECHI KATI YA MTIBWA SUGAR NA SOPFKAPAKA MABINGWA WAPYA WA KENYA.MTIBWA ALIFUNGWA TATU BILA

RAY C KIUNO BILA MFUPA


RAY C AKIWA KATIKA MOJA YA POZI ZAKE

ZITO KABWE ASEMA AHAMI CHADEMA


ZITO KABWE ASEMA ANGOKI CHADEMA KWAKUWA NDIO CHAMA KILICHO MLEA

JAY Z a.k.a JEOVA AKIWA NA BEYONCE



JAY Z AKIWA NA BEYONCE WAKILA LAHAA MAENEO YA MIAMI BEACH MAREKANI LAST WEEK

Tuesday, December 15, 2009

HUYU NI MEMBER WA USOKAZI


MKALI WA KITAA YANI MCHIZI WA LUHUMBO MASCAN9I HOME ALONE KWA WATOO WA MJINI

Monday, December 14, 2009

MAHAJABU HAYA JAMANI AU MNASEMAJE

DENIS RODMAN NA MWALLA

DENIS RODMAN NA MWALLA

HUYU NI DENIS RODMAN AKIWA NA MWALA KWENYE MECHI ZA NBA MAREKANI HUYU MWALA ANATISHA KWA DANKING

Thursday, December 10, 2009

PROFESOR JAY

WAKALI WA TOWN


huयु नि सुकी मवाना डर ऐ salam
ह्यु नि म्काली स्नूप dog

Tuesday, December 8, 2009