Friday, January 28, 2011

PIKIPIKI NA AJARI

Jamani polisi haya mambo ni yakutilia mkazo ra sivyo vilema watakuwa wengi sana kwa sababu ya pikipiki.

KITCHEN PARTY

Haya ndo mambo yaliyo jificha kwenye kitchen party jamani mhhh.

MEZI NA SHERIA MKONONI

Jamani kweli wezi wanauzi rakini tusichukue sheria mkononi.

FLAVIANA MATATA & AY


Vip hapa kati wadau me sielewi?

THE STAR WOLPER

This is wolper the actor.



















Thursday, January 20, 2011

YANGA HII SIO YA SASA


YANGA YA SASA ITAFANYA NINI MPAKA WATU WAJAE HIVI JAMANI HII ILIKUWA MARCH 2006.

HII NDO DAR ES SALAAM

MGENI KUTOKA KIJIJINI UKIJA MJINI KUWA MAKINI DAR YA SASA SIO KAMA YA ZAMANI.