USOKAZI
BUSY + SERIOUS
Thursday, January 20, 2011
HII NDO DAR ES SALAAM
MGENI KUTOKA KIJIJINI UKIJA MJINI KUWA MAKINI DAR YA SASA SIO KAMA YA ZAMANI.
HIYO NDO ILIVYO
JE INGEKUWA HIVI INGEKUWAJE?
AMIN & LINAH
Amini na linah wasanii kutoka THT.
HAYO NDO MAJINA YA PUB ZA DAR
SASA JAMANI PUB INAITWA SIMBA KAPAKATWA PUB KWELI MPENZIWA SIMBA ATAKUJA KUNYWA HAPO KWELI SIJUI.
HAYA SASA MNAOPENDA VURUGU
JAMANI JAMANI TUSIKUBALI KUDANGANYWA NA WATU WACHACHE KWA MASLAI YAO BINAFSI TUTAUMIA SANA HUU NI MFANO WAKUJIFUNZA KUTOKA KWAO HII NI IVORY COST.
Friday, January 14, 2011
HAYA HAYA JAMANI
Haya haya wadada wapenda shep na wakaka wapenda nanii?....... kubwa na nguvu kwajiri ya kukomoa haya sasa hili ni bango moja rakini yapo mengi mjini kwaiyo chaguo ni lako mwenyewe kama ni kusuka hama kunyoa wewe sasa.
Thursday, January 13, 2011
BONGO CITY CENTER
Hii ndo dar city center
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)