Tuesday, November 9, 2010

SUPER ECTOR IN BONGO


Msanii mkari kwa wanawake bongo kwa sasa mwenye ku act kwa hisia na na mvuto wa hari ya juu kwa muonekano.

Monday, October 25, 2010

CHRISS BROWN


Mkari wa R&B nchini MAREKANI AKIWA KATIKA INTERVIEW.

AY MKARI WA COMERCIAL

Huyu ndo wa comercial nchini tanzania na east africa kwa ujumla.

JUMA NATURE, MWASITI, FID Q


Hawa ndo wakali kwa sasa hapa bongo.

MWASITI R&B FROM THT





Mwasiti katika shoo ya fiesta inasemekana ndo mwanamke anayeimba R&B bora kwa sasa hapa bongo.