Tuesday, August 10, 2010

USOKAZI CREW NEW YEAR 1999

Usokazi crew pamoja usiku wa mwaka mpya mwaka 1999 mtaa wa luhumbo kinondoni near home alone base vijana.

Wednesday, August 4, 2010

HAYA NDO MAMBO YA WEIGHT


MANZESE HIYO.

HAYA NDO MAMBO YA MOTO

JAMANI MSIWE MNAKIMBILIA MAFUTA MAGARI YA MAFUTA YAKIPATA AJALI MNAONA MAZALA YAKE.

JAMANI ARSENAL POLENI

Poleni mashabiki wote wa arsenal msijali labada msimu huu msikate tamaa. ndovyo mashabiki wa man walivyokuwa wanasema na ndio walishiliki kwa karibu sana mpaka sioku ya kuzika.

Sunday, July 25, 2010

Asante mchina


Shariti usiwe mkali matokeo yanapotoka kama hivi, dada alitaka kushangaza jamii sasa jamii inamshangaa yeye. wakina Dada mpo?