Wednesday, February 24, 2010

MDUARA HUO



MAMBO YA MDUARA HAYO

Monday, February 8, 2010

HATEEB MKARI WA KINONDONI


HUYU NI HATEEB MKARI WA KINONDONI VIJANA MEMBAR WA USOKAZI FAMILY.

HUYO ZAMALAD MTETEMA


WAPILI KUSHOTO NI ZAMALAD MTETEMA MTANGAZAJI WA RADIO CLOUDS FM AKIWA NA MASHOST WAKE WAKILA RAHA.

ADAM MCHOMVU AKIWA NA SUGU


HAPA NI MCHOMVU AKIWA NA SUGU

ALI KIBA NDANI YA UNITED KINGDOM


ALI KIBA AKIWAPA RAHA MASHABIKI WAKE NDANI YA UK WAKATI AKIWA KWENYE TOUR YAKE MJINI MANCHESTER CITY.

ADAM MCHOMVU AKIWA NA MAUA


HUYO NI DJ WA CLOUDS FM AKIWA NA MAUA WAKILA RAHA.

MCHIZI AKILA KWANJA KITAAA


MKALI AAMUA KUTEMBEA NA RADIO YAKE KITAANI.

TALL NA SMALL


HAPA NI MTU MLEFU KULIKO WOTE DUNIANI NA MFUPO KULIKO WOTE DUNIANI WAKICHUKUA TUZO ZAO ZA GRAMY USA.

MATOTO MATUNDUA HAYA


JAMANI JAMANI HIVI KWELI NDO KAMA MWANAO MTUNDU HIVI SI NIHATARI

Tuesday, February 2, 2010

RAIS JAKAYA KIKWETE NA DROGBA


RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOKUWA AKIMKABIDHI DROGBA JEZI YA TIMU YA TAIFA LA TANZANIA NA KUMKABIDHI UBAROZI WA MPIRA NCHINI UINGEREZA

DEGE LA AJABU


DEGE LA AJABU LENYE GOROFA

KIKOSI CHA SIMBA SPORTS CLUB


KIKOSI CHA SIMBA SPORT CLUB KWA PAMOJA KAMA ULAYA

MODO KUTOKA KINONDONI


HUYU NI MODO WA KINONDONI "MDEEE"

MODO WA KINONDONI


HUYU NI MODOD WA KINONDONI MAENEO YA GARDEN "MGESI"

NYOMI HIYO KAMA MBAGARA


HII NDO NYOMI SIO KWA MBAGARA PEKEYAKE MPAKA KWENYE MATRENI

TOP IN DAR


TOP IN DAR AKIWA NA MPENZI WAKE

TOP IN DAR


TOP IN DAR AKIWA NA MPENZI WAKE

FID Q NGOSHA THE DON


HILI NI COVER LA ALBUM YA FID Q

CHID AKIWA NA DJ VENTURE


MKARI WA HIPHOP CHID BENZ AKIWA NA DJ VENTURE WA CLOUDS FM