Tuesday, August 7, 2012

TEAM PB

Hawa ndo wakari wa hot shooo ya clouds fm.PB

BORA MAMBO HAYA YARUDI

Zamani wabunge wanaenda dodoma kwa bus y not sasa hivi jamani?

JAMANI DUNIA INA MAMBO

Ni hatari jamani

MARAFIKI WA KWELI

Hawa jamaa wako pamoja long time.

JAMANI JAMANI......


Hivi jamani shule ndo zipo hivyo na walimu nao ndo wanafanya hivyo sasa wanafunzi watafauru vipi.

MAPENZI YANA RUN DUNIA




Super star na wapwnzi wao.