Friday, July 29, 2011

WAUZA NYAGO HAO



This is like usokazi

POMBE BWANA



Wamelewa tilalira, wamelewa tilalira

Wednesday, July 27, 2011

BAADHI YA WACHEZAJI


Hawa nibaadhi ya wachwzaji wa home alone fc.

HOME ALONE FOOTBALL CLUB


Hiki ndokikosi kilicho hiua ASET FC(Twanga pepeta).

HAYA MAMBO BADO YAPO TU JAMANI?


Haya mambo still yapo tu mpaka leo tubadilike jamani>

Monday, July 11, 2011

KITU CA BANANA HICHO




Bata la weeekend pande za kiondoni vijana kitu cha banana hicho.

Saturday, July 9, 2011

JUST 3 OF US.




Alicia Keys Na mumewe Swizz Beatz wakiwa na mtoto wao Egypt kwa family day out,
juu hapa wa wili hao waki enjoying mda pekeyao bila mtoto mtaani