Msitu wa vina alivyopagwawisha kwenye season ya fiesta 2010 inasemekana ndo shoo kari zaid kati ya sho zote zilizo fanyika mwaka 2010. na juma nature ndo msanii aliye ngara pale kati. Ongeleni sana clouds fm ,clouds tv and all member of clouds entertainment big up.