Mwanamuziki wa kimataifa kutoka marekani lil kim ambaye alitua hapa bongo kwa onesho la fiesta season 9 lililofanyika leaders club kinondoni, lil kim alipaform live na juma nature ikiwa kama ishara ya kukubari kazi na uwezo wa juma nature,lil kim aliweka bayana kuwa atarecord nyimbo na juma nature lil aliweka bayana hayo wakati akiagana na joseph kusaga na kusema kuwa amefuraishwa sana na ushirikiano aliopewa na juma nature na watanzania kwa ujumla hivyo ameaidi kurecord remix ya nyimbo zake na za juma pia na inasemekana kuwa amechukua nyimbi za juma nature kwaajili ya kusikiliza nakujua atazifanyeje remix yake.
Tuesday, August 10, 2010
LIL KIM NDANI YA BONGO
USOKAZI CREW NEW YEAR 1999
Wednesday, August 4, 2010
JAMANI ARSENAL POLENI
Subscribe to:
Posts (Atom)