Sunday, July 25, 2010

Asante mchina


Shariti usiwe mkali matokeo yanapotoka kama hivi, dada alitaka kushangaza jamii sasa jamii inamshangaa yeye. wakina Dada mpo?

Tuesday, July 13, 2010

HAYA NDO MAMBO YA UGOMVI


SASA HUU NDO UGOMVI GANI JAMANI WA KUVUANA NGUO JAMANI.

PRESIDENT OBAMA


PRES OBAMA VIPI HAPO.

MIHUZA KAHAWA


SASA HIVI KAHAWA SIO MPAKA UVAE MGOGO SIKU HIZI MPAKA TAI WATU WANAUZIA KAHAWA.

NYUMBA ZA ASILI


BONGO NDO KILA KITU GOROFA SIO MPAKA MJINI SASA NI MPAKA VIJIJINI.