USOKAZI
BUSY + SERIOUS
Tuesday, January 19, 2010
NDO MAMBO YA BUSH HAYO
HAPO NDIPO PALIPO" SIKU WALIPO PATA LAPTOP NDO ILIVYOKUA IVYO.
KIUNGO HATARI WA SIMBA AKIWA AIRPORT
BOBAN AKIWA AIRPORT KUONDOKA KWENDA SWEEDEN KUUPIGA KWENYE LIGI KUU ATAKUA MCHEZAJI PEKEE WA KITANZANIA KUCHEZA LIGI KUU YA UKO SWEEEDEN.
ALI CHOCK AKIIMBA
HUYU NI ALI CHOCK AKIIMBA KWENYE HARUSI YA MWANDISHI ILIYOFANYIKA VIJANA KINONDONI.
MKARI ABDU TALL AKITOA MAZOEZI
HAWA NI WACHEZAJI WA TIMU YA TWANGA WAKIFANYA MAZOEZI NA CAPTAIN WAO ABDUL TALL SAJOE KONGOLEE.
Friday, January 15, 2010
MH RAIS AKIWA NA PRF J
RAIS JK AKIWA NA PROFESOR J KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA MALARIA
MH RAIS AKIWA NA B KIDUDE
RAIS JK AKIWA NA B KIDUDE KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA MALARIA
RAIS JK AKIWA NA BANANA
RAIS JK AKIWA NA BANANA KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA MALARIA.
TOP IN DAR AKIWA NA KARARA JUNIOR
HAWA NI WASHIKAJI WA MDA MREFU WAOTO WA KINONDONI STUDIO AU LIVINGSTONE.
HAWA NI WACHEZA SHOO WA TWANGA
WACHEZA SHOO WA TWANGA WAKIFANYA VIU VYAO NDANI YA UKUMBI WA BILLCANARS
MZEE WA FARASI
HUYU NI ALLY CHOCK AKIWA NA MR NICE KWENYE USIKU WA EXTRA BONGO NEXT LEVER.
Monday, January 11, 2010
JAMANI HILI NI DARASA JE WADAU MPO WAPI
HAYA NDO BAHADHI YA MADARASA HUKO MIKOANI JE NANI ALAUMIWE?
PRES JK AKIWA NA IVORY COST
RAIS WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA NA TIMU YA IVORY COST KWENYE PICHA YA PAMOJA BAHADA YA CHAKURA CHA PAMOJA NA TIMU HIYO.
PRES JK WITH HONOR BUSH
RAIS JAKAYA AKIWA NA BUSH NDANI YA IKULU.
HUYU NI RAPA HATARI WA EXTRA BONGO
NI GREYSON SEMSEKWA RAPA HATARI WA EXTRA BONGO NEXT LEVEL MZEE WA "SUNGURA JANJA SUNGURA JANJA"
MANGO GARDEN KINONDONI
HAYA NI BAHADHI TU YA MABANGO YALIYO ENEA KWENYE MLANGO WA UKUMBI WA HUO
MTOTO WA MJINI STEVE NYERERE
STEVE AKIWA KWENYE JUKWAA LA EXTRA BONGO AKIFANYA VITU VYAKE
THE LUCKY DON (Kay Gee)
(Plaga)
... One of the member of Usokazi family
mwana wa Kino clane,
CEO
of The Lucky Don Entertanment..
Thursday, January 7, 2010
HIVI SHANGAA MAANA YAKE NINI HUYU MTOTO NAYE NI WA KUMVESHA SHANGA JAMANI
SASA TUNAPOKWENDEA KUBAYA MPAKA WATOTO WADOGO WANAVESHWA SHANGA.
KWA UMRI WA HUYU MTOTO NI SAWA KWELI JAMANI
HIVI JAMANI KWA UMRI WA HUYU MTOTO KUFANYA ANACHOKIFANYA NI SAWA KWELI WAZAZI MPO JAMANI WATOTO TUNAWAHALIBU WENYEWE.
HUYU NI HALIETH MTOTO WA KINONDONI AKIWA NA DJ MAKAY
HUYU NI HALIETH MTOTO WA KINONDONI MAENEO YA VIJANA AKIWA NA MCHIZI WAKE WA LONGTIME DJ MAKAY.
JAMANI JAMANI HUYU BIBI NAE
KWELI DUNIA INAKALIBIA MWISHO KWA UMLI KAMA WA MHUYU BIBI KWELI NI MTU WA KUVAA NGUO HIZI KWELI HII NI HATARI JAMANI.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)